CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeendelea kukiburuza Chama cha Mapinduzi (CCM) katika siasa, ambapo kwenye matokeo ya udiwani katika uchaguzi uliofanyika jana, chama hicho kimefanikiwa kutetea kata zake na kunyakua nyingine za CCM. Hata hivyo uchaguzi huo ambao ulifanyika kwenye kata 29 katika halmashauri mbalimbali nchini, umemalizika huku vurugu kubwa zikitawala na kusababisha wafuasi wa vyama hivyo kuumizana....
0 Wabunge CUF wasusia Baraza la Wawakilishi
MAWAZIRI na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), jana walitoka ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mjini hapa, wakati Mwakilishi wa Jimbo la Bububu, Hussein Ibrahim Makungu (CCM), alipokuwa akiapa. Mawaziri na wabunge hao kupitia CUF, walitoka nje ya ukumbi huo jana asubuhi, baada ya Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, kutoa taarifa ya kuapishwa kwa mwakilishi mpya na kutaja...
0 Siku mdau wako alipotembelea hifadhi ya Manyara kufanya utalii wa ndani
Mapokezi ambapo kuna ramani ya hifadhi yote. Hapa ni mtu yeyeote anaruhusiwa kutembelea bure na kujionea baadhi ya vivutio viachache vilivyohifadhiwa. Kwa mbali wanaonekana wanyama aina ya Kiboko wamepumzika Shughuli za utalii katika hifahdi hii hufanywa zaidi na magari ya aina hii ambayo ayanaelezwa kuwa na uwezo mzuri wa kuhimili...
0 FFU wa Ngoma Africa Band wamekinukisha ! AFRIKA-MESSE, Bremen Ujerumani
Ngoma Africa band Live Bremen,Afrika-Messe
FFU waelekeza pa kushambulia
ffu wakiwa na mitutu yao
FFU walipotua Bremen
kamanda Ras Makunja akiipanga safu ya FFU
Mashabiki wa Ngoma Afrika wakiserebuka mjini Bremen********
KIKOSI
kazi cha Ngoma Africa Band iliyozoeleka kwa tabia zake za kupagawisha
washabiki wa muziki ughaibuni,...
Subscribe to:
Posts (Atom)